Friday, August 5, 2011

TANZANIA TUJIKWAMUE GROUP ORGANIZATION-TTGO






TANZANIA TUJIKWAMUE GROUP.
RISALA YA KIKUNDI.
1.     Kufungua mkutano
2.  Kutoa utanguli na wa kikundi.
3.   Kukubaliana kuanzisha kikundi.
4.   Kujadili uanzishwaji na uaandaji wa katiba na taratibu za kikundi na uanachama.
5.   Kutazama kwa jinsi gani kikundi kinaweza kusogea mbele.
6.  Kufunga mkutano.
MUUTASARI WA KIKUNDI.
Habari za Mchana wanakikundi. Tunakutana leo kwa mara ya kwanza kam jumuiya moja yenye lengo moja la kusaidiana,kuwezeshana na kufanikisha lengo hasa la kikundi la KUJIKWAMUA.
Maana halisi ya jina la Kikundi linatokana na neon KUJIKWAMUA ama JIKWAMUE ama TUJIKWAMUE yaani tujiwezeshe wenyewe mimi na wewe we na Yule na kwa pamoja tunakuwa kitu kimoja kama ilivyo sasa.
Nashukuru sana kwa uitiko wenu nyote.
Sehemu A..UTANGULIZI
 Neno  ‘JIKWAMUE’ linamaan kubwa sana au pana yenye miangalio na mafikirio mengi tofauti. Mwingine ataona kwa maana ya kijamii kama kujiwezesha,mwingine ataona kwa maan ya kisiasa na maana kubwa ya kiuchumi ni kujiwezesha ama kujikomboa kutoka na umaskin au shida mbali mbali. Tunaelekeza maan yetu huko kwa sasa tuwezeshane kwa pamoja tuwe na sauti moja itakayo leta matumaini kwa wengi. Tukitumia Fursa mbali mbali zilizopo katika uchumi a nchi yetu tunaweza kufanikwa kwa kujiajir wenyewe na kuajiri wengine pia. Shirikisho hili linalenga zaidi kuinuana kiuchumi na kijamii sana.
Kwa namna moja au nyingine kila mtu anakuwa na mwazo mengi ana tofauti kutoka kwa mwingine. Kama mawazo haya tukiyaweka pamoja basi tutaweza kujikwamua. Tuna taaluma na vijapi tofauti kwa kila mmoja na hivi vyoote tukivitumia tunaweza kufanya mambo mengi ya maana kimaisha. Mfano humu kuna wanachama ambao ni wabunifu,wachumi na kwapamoja tunaweza kusema kwa pamoja sisi ni wajasiriamali na vijana tulioweza kuona mbali na kesho yetu itakuwaje.
Kuna Msmo mmoja  Wa Kichina unasema..’WHO KEEPS HIS/HER EYES ON FAR HORIZON WILL FIND THE RIGHT WAY’ hii humaanisha kwamba ikiwa Yule mwenye kuangalia ama kuwekeza fikra zake kwa kutaman yaliyo mbali zaidi ya pale ataweza kuona njia sahihi…
Hiii ni nini basi. Maana kubwa ya kukutana hapa ni kujifunza na kuwezesshaa kufikia maisha yetu ya baadae., Yaani lazima tujenge maisha yetu ya Uzeeni leo nan do maana tunakutana hapa.
SEHEMU B.MALENGO/MADHUMUNI YA KIKUNDI.
Kikundi hiki kinatazamai kuwa na malengo ya kuyafikia baada ya muda ma tu baada ya kuanzishwa kwake rasmi.
Ø     Kukutanisha wanachama kwa pamoja.
Ø     Kusajili kikundi rasmi kisheria.
Ø     Kujiajiri wenyewe kama kikundi.
Ø     Kuanzisha miradi ya kiuchumi kama SACCOS na Mingine.
Ø     Kuwafikia vijana wengi zaidi.
Ø     Kujitanua kitaifa zaidi.

SEHEMU C. KUWASILISHA MAOMBI YA KUKUBALIANA KUANZISHA KIKUNDI.
Kwa pamoja tunaweza kwenda mbali kwa kuweza kuanagalia namna mbali mbali ambazo zinaweza kutpa fursa ya kufikia malengo yetu. Katika nchi yetu tunaweza kufanya mambo mengi ambayo yanaweza kutufikisha pale tunapo pataka zifuatazo ni baadhi ya fursa ambazo tunaweza kuzifanyia kazi na zikatusaidia.
1.Kuanzisha SACCOS ya TUJIKWAMUE GROUP.
2.Kuwekukeza katika vipaji vya wanachama kama FILAMU na Muziki.
3.Kuwekeza katika shughuli za Hotelia kama Catering and decoration.
4.Kuwekeza katika biashara mpya zinazojitokeza.
5.Kuwekeza katika marketing na Technolojia.
6.Kuwekeza katika Kilimo na Usafirishaji wa mazao.
7. kuwekeza katika utalii kwa njia nyingine ya kutoa habari,safari ama utangazaji wa vivutio vya utalii.

Kwa ufupi hizo nio baadhi ya fursa zinaweza kutusaidia na kutifikisha pale tunapo pataka ili tuwe watu wenye mafankikio siku moja.
‘life is a war so we need to fight and not give up the fight’
Tukiwa tunafikiria vema,tunakubalioa vema na kutekeleza vema basi tutafanikiwa kaitaka hili.

Kwa kuhitimisha kuanzisah kikundi hiki ni kufungua njia kwa kila mwanachama kuweza kufikiria na kuchangia maendelo ya kila mmjoa kama kikundi tujikwamue kwa pamoja.. na kauli mbiu yetu ni..THINK THE BEST,DO THE BEST AND GET THE BEST. Hii inamaana kuwa fikiri vema na zaidi,fanya vema na zaidi na pata vema na zaidi.
ASANTENI NA NAOMBA KUWASLIISHA OMBI LANGU LA KUANZISHA KKIKUNID HIKI.



‘wenu katika taifa’

2 comments:

  1. HABARI WANA TTGO.
    Zifuatazo ni sifa za mwanachama wa TTGO na baadhi ya kanuni za kikundi.

    SIFA ZA MWANACHAMA
    1. Awe na umri wa miaka 21 na kuendelea.
    2. Awe na tabia zinazokubalika katika jamii.
    3. Awe na akili timamu.
    4. Awe raia wa Tanzania

    BAADHI YA KANUNI.
    1. Ada ya kujiunga uanachama ni shilingi elfu hamsini (Tshs 50,000).
    2. Mchango wa kila mwezi ni shilingi elfu kumi (Tshs 10,000).

    NOTE;
    1. Kuanzia tarehe 05/09/2011 fomu za uanachama zitakuwa zimeshakuwa tayari.
    2. Tunakamilisha mipango ya kulipia ofisi ambapo mtu mwenye sifa na nia thabiti ya kujiunga na TTGO atafika pale kupata fomu,katiba,kanuni na maelezo mengine yanayohusu kundi.
    3. Kwa members wa mikoani watakaokuwa na nia ya kweli tutawatumia fomu online au hata kupitia posta.
    Kwa maelezo zaidi wasiliana na;
    ...............Mkurugenzi 0712 742497
    ...............Mwenyekiti 0715 977756
    au tembelea blog ya kundi.
    ..............................KARIBUNI SANA......................................
    ............................PREPARED BY CHAIRMAN............................

    ReplyDelete
  2. NAOMBA NIWATANGAZIE WALE WANAOTAKA KUJIUNGA NA TANZANIA TUJIKWAMUE GROUP USAJILI UMEANZA HAPA FB NA FORM UFISINI KUANZIA TAREHE 5/8,,,NA KUPITIA HAPA UNAOMBA KUINGIA KATIKA GROUP NA UONE MASHART YETU...

    ReplyDelete